Katibu Mahsusi III Job at Kigamboni Municipal Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1608 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Katibu Mahsusi III

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Kigamboni Municipal Council

Deadline of this Job:
22 August 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Kigamboni , East Africa

Summary
Date Posted: Wednesday, August 12, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Tangazo La Nafasi Za Kazi
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni anawatangazia Wananchi wote raia wa Tanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi zilizoorodheshwa hapo chini: .

Majukumu ya kazi:
• Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida
• Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa.
• Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za mkuu wake na ratiba za kazi nyingine zilizopangwa kutekelzwa katika Ofisi anayofanyia kazi na kumuarifu mkuu wake wakati unaohitajika.
• Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao.
• kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa Maofisa walio katika sehemu alipo, na kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika.
• Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na Msimamizi wake wa kazi
Ngazi ya mshahara ni TGS B.


Job Skills: Not Specified


Sifa za mwombaji:
Kuajiriwa mwenye cheti cha kidato cha nne (Form IV) au cha sita (VI) waliohudhuria mafunzo ya Uhazili na kupata cheti cha NTA LEVEL 5. Wawe wamefaulu somo la hati Mkato ya Kiswahili na Kingereza maneno 80 kwa dakiki moja na wawe wamepata mafunzo ya kutumia Kompyuta kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali nakupata Cheti katika program za Windows, Microsoft Office, Internet, Email na Publisher


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARTI KWA UJUMLA:
Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote ya Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni
Mwombaji awe na Umri usiozidi miaka 45 na awe hajawahi kupatikana na kosa lolote la jinai, kufungwa jela na kufukuzwa kazi katika Utumishi wa Umma.
Waombaji waambatishe maelezo yao binafsi (CV)
Maombi yote yaambatane na nakala ya Vyeti vya Taaluma, vyeti vya kidato cha nne IV au VI, cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi za hivi karibuni na ziandikwe majina nyuma.
Testimonials, provisional results, Statement of Results hati ya matokeo ya kidato cha nne na sita (FORM IV and FORM VI RESULT SLIPS) HAVITAKUBALIWA
Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika TCU na NACTE na taarifa ya uhakiki iambatishwe kwenye maombi
Uwasilishwaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria
Barua zote za maombi ziandikwe kwa mkono 9. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 22/08/2020 sa 9:30 alasiri.

Maombi yatumwe kwa Anuani ifuatayo:
Mkurugenzi,
Halmashauri ya Manispaa Kigamboni,
S.L.P. 36009, KIGAMBONI, DAR ES SALAAM.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job:  22 August 2020
Duty Station: Kigamboni
Posted: 12-08-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 12-08-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 13-08-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.