Meneja Job at Lulu Sacco’s Ltd, - Career Opportunity in Tanzania
Website :
2375 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Meneja

Jobs at:
Lulu Sacco’s Ltd,

Deadline of this Job:
18/07/2018 saa 9.00

Duty Station:
Dar es Salaam, Tanzania

JOB DETAILS:
CHAMA CHA USHIRIKA AKIBA NA MKOPO LULU SACCOS LTD,

Bodi ya charna cha ushirika wa akiba na mikopo Lulu (Lulu Saccos Ltd) MBR737 kilichopo Jiji la Mbeya maeneo ya Soweto kata ya Ruanda kinatoa tangazo la kazi kwa nafasi zifuatazo:
-

MENEJA NAFASI 1 (MANAGER)

SIFA (QUALITY)

  • Awe na umri wa miaka kuanzia 30 hadi 50
  • Awe na elirnu ya sekondari
  • Awe na shahada ya uongozi. uhasibu na fedha. biashara na rnasoko
  • Awe ni rntanzania anayeishi katika Jiji la Mbeya
  • Awe anajua kutumia kornpyuta
  • Muombaji atakaye kuwa na shahada ya pili itarnwongezea sifa
  • Awe na uwezo wa kusimamia watendaji walioko chini yake
  • Awe mbunifu wa mambo mapya
  • Awe anajituma kufanya kazi
  • Awe mtu anayejisimarnia mwenyewe
  • Atawajibika kwa bodi ya chama
  • Awe ni mzaliwa/mwenyeii wa rnkoa wa Mbeya.
  • Kazi hii ni ya mkataba wa rniaka miwili

WORK (KAZI)

  • Kufanya mawasiliano yote kwa niaba ya chama
  • Kuishauri bodi katika shughuli za ujasiliamali
  • Kuweka saini kumbukumbu zote kwa niaba ya chama
  • Kuishauri bodi kuhusu uaiiri na kuendeleza watumishi
  • Kusnmamna na kuranbu rmoango yote ya uchumi ya chama
  • Kutayarisha taarifa za mwezi,robo,r|usu na mwaka
  • Kuwa mratibu wa vikao vya bodi
  • Kuhifadhi nakala ya masharti ya chama
  • Kuandaa hesabu za mwaka
  • Kutoa taarifa kwa bodi
  • Kuwa msimamizi mkuu wa watumishi wa charna
  • Kusimamia uendeshaji wa shughuli za chama za kila siku
  • Kuhakikisha kuwa chama kinakuwa na fedha za kutosha kwa aiili ya mikopo.

Job application procedure

  • Mwombaii anatakiwa kuarnbatanisha picha mbili passport size
  • Mwombaji atatakiwa kuarnbatanisha vivuli vya vyeti vya kuzaiiwa na vya masomo
  • Mwombaji aambatanishe CV yake wakati wa kuomba kazi
  • Mwombaji aonyeshe mawasilisano yake bayana
  • Mwombaji atakayefaulu kwa awamu ya kwanza ataitwa kwenye usaili
  • Mwornbaji atakayeitwa kwenye usaili aje na vyeti halisi siku ya usaili
  • Mwombaji atajigharamia mwenyewe wakati wa usaili
  • Maombi yatumwe kwa :
    -
    MWENYEKITI WA BODI
    CHAMA CHA USHIRIKA WA AKIBA
    NA MIKOPO LULU
    S. L. P. 3467
    MBEYA.

  • Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe
    18/07/2018 saa 9.00 alasili (afternoon)

IMETOLEWA NA HWENYEKITI WA CHAMA

Job Info
Job Category: Management jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 18 July 2018 saa 9.00
Duty Station: Tanzania
Posted: 21-06-2018
No of Jobs: 1
Start Publishing: 21-06-2018
Stop Publishing (Put date of 2030): 21-06-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.