Vacancy title:
Meneja Wa Chama
Jobs at:
Chawakim Cooperative Society LtdDeadline of this Job:
10 February 2020
Summary
Date Posted: Tuesday, January 28, 2020 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
Chawakim Cooperative Society Ltd .
MAJUKUMU YA KAZI
• Kusimamia utekelezaji wa shughuli zote za kila siku za chama na kuhakikisha taarifa za utekelezaji zimewasilishwa kunakotakiwa kwa wakati na usahihi
• Kuhakikisha, Sheria ya Vyama vya Ushirika, Kanuni na Masharti ya Chama vinazingatiwa
• Kuwajibika kwa Bodi ya chama
• Kuwa Katibu wa Vikao vyote vya Bodi na Mikutano Mikuu ya Chama
• Kuhakikisha mpango kazi wa chama unatekelezwa ipasavyo na Ukomo wa Makisio ya Mapato na Matumizi hauvukwi
• Kuandaa ratiba za kazi, ratiba za vikao na mikutano na kufanya maandalizi yake kwa wakati;
• Kutekeleza majukumu mengine atakazopangiwa na mwajiri wake;
Job Skills: Not Specified
SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe mwenye Shahada ya Usimamizi wa Ushirika na Uhasibu (Bachelor of Arts in Cooperative Management and Accounting) kutoka Chuo kikuu cha Ushirika Moshi, au Shahada ya Utawala wa Biashara kwenye Uhasibu (Business Administration in Accounting) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali
• Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu (3) wa kufanya kazi za usimamizi na utawala au uhasibu (uzoefu wa kufanya kazi katika vyama vya ushirika itakuwa sifa ya nyongeza
• Awe na umri wa miaka 30 na kuendelea
• Awe na ujuzi wa kutumia computer
• Awe mbunifu (creative) na mwenye bidii katika kazi bila kusimamiwa.
• Awe hajawahi kupatikana na kosa la jinai
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
Work Hours: 8
{module 312}
Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA KWA NAFASI YA KAZI
• Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania
• Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika, Barua iliyoandikwa kwa mkono na kusainia.
• Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika, Vyeti vya kitaaluma (Professional Certificate from respective Board)
• “Testmonials” “Provisional Results”, “Statement of results” hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA
• Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA, na NACTE)
• Mwombaji atakayeitwa kwenye usaili aje na vyeti halisi siku ya usaili
• Mwombaji atajigharamia mwenyewe wakati wa usaili
• Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
• Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA
• Maombi yote yatumwe kupitia anuani tajwa hapa chini
• Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10th February 2020
MWENYEKITI WA BODI
CHAWAKIM COOPERATIVE SOCIETY LTD
S.L.P 30871,
KIBAHA, TANZANIA.
E mail: chawakim@yahoo.com
All Jobs
{module 316}
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.