Vacancy title:
Mhandisi (Ujenzi) Daraja II
Jobs at:
Halmashauri Ya Wilaya Ya SikongeDeadline of this Job:
14th June 2019
Summary
Date Posted: Thursday, June 06, 2019 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
Halmashauri Ya Wilaya Ya Sikonge
Tangazo La Kazi.
Mkurugenzi Mtendaji Wa Halmashauri Ya Wilaya Ya Sikonge Anawatangazia Nafasi Za Kazi Zifuatazo Watanzania Wenye Sifa Zilizotajwa Hapa Chini; Kwa Kila Kazi. Waombeji Wawasilishe Barua Ya Maombi Kwa Kutumia Anuani Iliyopo Chini Ikiambatanishwa Na Sifa Binafsi (Cv) Pamoja Na Nakala Za Vyeti Vya Elimu Na Taaluma Aliyonayo. Mwisho Wa Kuwasilisha Maombi Nia Tarehe 14/06/2019 Saa 9.30 Mchana .
SIFA ZA MWOMBAJI:
• Awe na Shahada Stashahada ya Juu ya Uhandisi kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo ya fani za Uhandisi
KAZI NA MAJUKUMU
• Kufanya ukaguzi wa Barabara, madaraja na majengo mbalimbali.
• Kufanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi aliyesajiriwa (Proffessional Engineer) na bodi ya usajili ya Wahandisi ili kupata uzoefu unaotakiwa.
• Kuchunguza vyanzo vya ajali barabarani
• Kufuatilia utekelezaji wa sheria na kanuni za ujenzi wa Barabara na Majengo.
• Kutayarisha bajeti ya mwaka ya ujenzi na matengenezo ya Barabara, Madaraja na Majengo.
• Kusimamia na kuratibu kazi za Barabara, Madaraja na Majengo zinazotolewa na Makandarasi.
AINA YA AJIRA: Ajira ya Mkataba (Contract)
MSHAHARA: Tsh.500,000/=kwa mwezi kulingana na viwango vilivyoidhinishwa na
Job Skills: Not Specified
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
{module 312}
Job application procedure
Baraza la Madiwani Barua za Maombi zitumwe kwa:
Mkurugenzi Mtendaji (W),
Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge,
S.L.P 70, SIKONGE..
All Jobs
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.