Mhudumu wa mifugo (livestock Attendant) Job at Arusha City Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1419 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Mhudumu wa mifugo (livestock Attendant)

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Arusha City Council

Deadline of this Job:
18 December 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Arusha , East Africa

Summary
Date Posted: Monday, December 14, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji anawatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Jiji la Arusha kutuma maombi ya kazi ya muda kwa Mkurugenzi wa Jiji ndani ya siku 14 kuanzia tarehe ya Tangazo hili. Nafasi hizi ni za muda wa miezi sita kwa kazi zilizopangwa na kuidhinishwa na Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2020/2021. .

Sifa zinazotakiwa
Awe na elimu ya kidato cha IV ambaye amehudhuria mafunzo ya mifugo na kutunukiwa Cheti cha Msingi (Basic Certificate NTA Level 4) kutoka Vyuo vya Wakala wa Mafunzo ya Mifugo (Livestock Training Agency - LITA), au wenye Cheti cha NVA Level 3 kutoka katika Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDCs) au sifa inayolingana na hiyo kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali.


Job Skills: Not Specified


Kazi na Majukumu
• Kuchunga na kulisha mifugo
• Kujenga/kukarabati uzio wa shamba la „padock“
• Kufanya usafi wa vifaa, kutunza na kuhudumia wanyama • Kutunza wanyama kwa ajiliya majaribio na utafiti

• Kuogesha mifugo (dipping/spraying)
• Kukamua mifugo na kusambaza maziwa sehemu husika
• Kutambua na kuandaa majike yanayohitaji kupandishwa
• Kutoa taarifa mbalimbali za mifugo kuhusiana na; vizazi, vifo chakula, uzalishaji wa maziwa kwa msimamizi wa kazi.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MAELEZO YA JUMLA
• Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na Mwenye akili timamu.
• Waombaji wawe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45.
• Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya Elimu/taaluma, cheti cha kuzaliwa na maelezo binafsi (CV).
• Mshahara utakuwa wa makubaliano kwa kuzingatia bajeti.
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 18/12/2020 saa 9:30 alasiri.
• Maombi yatakayotumwa kwa mkono hayatapokelewa.
• Waombaji wenye uzoefu wa kazi watapewa kipaumbele.

Maombi yatumwe kwa anuani ifuatayo:
Mkurugenzi,
Halmashauri ya Jiji la Arusha
S.L.P. 3013, Arusha.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 18 December 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 14-12-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 14-12-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 14-12-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.