Vacancy title:
Mteknolojia Msaidizi Dawa
Jobs at:
Mbalizi HospitalDeadline of this Job:
10 January 2020
Summary
Date Posted: Tuesday, January 07, 2020 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
Hospitali ya Mbalizi ni hospitali teule ya Wilaya ya Mbeya na inamilikiwa na Kanisa la Uinjilisti Tanzania iliyo na makao makuu yake katika mji mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya. Hospitali inatangaza nafasi za kazi kwa kada zifuatazo; .
Majukumu na kazi
• Kuandaa mahitaji na matumizi ya dawa na vifaa
• Kuagiza, kuhifadhi na kugawa dawa na vifaa tiba katika eneo lake la kazi
• Kuandaa taarifa ya matumizi ya dawa na vifaa tiba
• Kutunza kumbukumbu za dawa na vifaa tiba
• Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
MSHAHARA: Utalipwa mshahara wakuanzia na TGHS A
Job Skills: Not Specified
Sifa: Awe amehitimu astashahada ya mteknolojia msaidizi wa dawa kwa miaka miwili kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali na ambae amesajiliwa.
Job Education Requirements: Not Specified
Namna ya kuomba
Maombi yote yaambatanishwe na;
• Maelezo binafsi (Curriculum vitae)
• Vyeti vilivyo thibitishwa (Certified Certificates)
• Cheti cha taaluma pamoja na cheti cha mafunzo kwa vitendo
• Lesseni
• Cheti cha sekondari (kidato cha iv na kidato cha vi)
• Cheti cha kuzaliwa
• Kitambulisho cha NIDA/ Namba ya NIDA
Mwombaji awe mtanzania asiye zidi umri wa miaka 45
{module 312}
Job application procedure
Maombi yote yatumwe kwa; MGANGA MFAWIDHI HOSPITALI YA MBALIZI
S.L.P 6117
MBEYA.
Barua pepe: mbalizihospital@gmail.com SIMU 0735542568
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 10/01/2020 saa 9:30 Alasiri
All Jobs
{module 316}
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.