Mtendaji Wa Kijiji III Job at Bukoba - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1763 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Mtendaji Wa Kijiji III

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

 

Jobs at:

Bukoba

Deadline of this Job:
04 March 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Bukoba , East Africa

Summary
Date Posted: Monday, February 24, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Unapojibu tafadhali Taja: Kumb.Na.KGR/BDC/S.2/28/V/71
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba inatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo: .

Job Responsibilities: Not Specified


Job Skills: Not Specified


SIFA: Awe na elimu ya kidato cha IV au cha VI. Awe na cheti cha Stashahada katika fani ya Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Maendeleo ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Uchumi na Mipango kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali. Awe na umri kati ya miaka 18-45. Awe ni raia wa Tanzania.

MSHAHARA: Kwa kuzingatia ngazi ya mshahara wa Serikali, yaani TGS B kwa mwezi.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MAELEZO MUHIMU YA KUZINGATIA
Barua za maombi ziandikwe kwa mkono.
Maombi yaambatane na vivuli vya vyeti (photocopies).
Barua ziambatane na picha moja ya passport size.
Mwombaji aambatishe CV na anwani ya mawasiliano kama Simu za mkononi, Email, Faksi nk.
Wale watakaoitwa kwenye usaili, watajigharamia usafiri na malazi.
Tarehe ya mwisho kupokea maombi ya kazi ni tarehe 04/03/2020.
Barua za maombi zitumwe kwa anwani hii:
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya,
S.L.P 491, BUKOBA.
LIMETOLEWA NA;
MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA BUKOBA


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 4th March 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 24-02-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 24-02-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 25-02-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.