Mtendaji Wa Kijiji III Job at Kongwa District Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1768 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Mtendaji Wa Kijiji III

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

 

Jobs at:

Kongwa District Council

Deadline of this Job:
06 March 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Kongwa , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, March 03, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA KONGWA
Kumb. Na. HW/KOG/S.20/29.VOL.IV/81
TANGAZO LA KAZI
Kwa mujibu wa Kibali cha Ajira Mbadala kilichotolewa na Katibu Mkuu - Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa chenye Kumb. Na. FA. 170/360/01/121 cha tarehe 06 Februari, 2020 kikisomwa pamoja na chenye Kumb. Na. FA.170/360/01/96 cha tarehe 19 Septemba, 2019. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa anawatangazia Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi ya Mtendaji wa Kijiji III kama ifuatavyo; .

MAJUKUMU YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III:
• Kuwa Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji.
• Kusimamia ulinzi na usalama wa Raia na Mali zao.
• Kuratibu na kusimamia upangaji na utekelezaji wa mipango ya Maendeleo ya Kijiji.
• Kuwa katibu wa mikutano yote ya Halmashauri ya kijiji. Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu.
• Kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali.
• Kiongozi wa wakuu wa vitengo vya kitaalamu katika kijiji.
• Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za kijiji. .
• Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi.
• Kusimamia utungaji wa Sheria ndogo za Kijiji.
• Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI:
• Awe amehitimu Kidato cha Nne au sita.
• Awe amehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti (NTA LEVEL 5/TECHNICIAN CERTIFICATE) katika mojawapo ya fani zifuatazo: Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii. Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
NGAZI YA MSHAHARA Kwa mujibu wa Ngazi ya Mshahara wa Serikali, yaani TGS B kwa mwezi. MASHARTI YA JUMLA KWA MWOMBAJI: • Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi kwenye Kijiji chochote ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa.
• Mwombaji awe na umri kati ya miaka 18 - 45.
• Mwombaji awe hajawahi kupatikana na kosa la jinai au kufungwa jela. • Maombi yote yaambatane na Wasifu wa mwombaji (CV).
• Maombi ya ambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, vyeti vya taaluma, cheti cha kuzaliwa na picha (passport size) zilizoandikwa jina la mwombaji nyuma.
• Testimonials "Provisional Results","Results Slips”, Kiapo cha kuthibitisha umri wa kuzaliwa HAVITAKUBALIWA.
• Barua ya maombi iandikwe kwa mkono.
• Waombaji ambao walisoma nje ya nchi vyeti vyao vya Taaluma vifanyiwe ulinganishi na TCU na NECTA na majibu ya ulinganisho yaambatanishwe kwenye barua ya maombi ya kazi.
• Waombaji waliowahi kuacha kazi, kuachishwa au kufukuzwa kazi hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama ana Kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi cha kuajiriwa tena.
• Mwisho wa kupokea maombi ya kazi ni tarehe 15/03/2020 saa 9.30 Alasiri.

Maombi yote yatumwe kupitia posta kwa:
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA YA KONGWA,
S.L.P 57, KONGWA.
LIMETOLEWA NA;
MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA
KONGWA

Nakala: Mbao za Matangazo.
Tovuti ya Halmashauri: www.kongwadc.go.tz  :
Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma - www.ajira.go.tz 


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 15th March 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 03-03-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 03-03-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 03-03-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.