Mtendaji wa III Job at Musoma Municipal Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1326 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Mtendaji wa III

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Musoma Municipal Council

Deadline of this Job:
15 September 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Musoma , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, September 01, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi Ya Rais
Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa
Halmashauri Ya Manispaa Ya Musoma

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya MUsoma anawatangazia nafasi za kazi watanzania wote wenye sifa za kuajiriwa katika fani za Mtendaji wa Mtaa Daraja III, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja II na Katibu Muhtasi Daraja III .

Majukumu ya Kazi ni pamoja na:-
• Katibu wa Kamati ya Mtaa
• Mtendaji Mkuu wa Mtaa
• Kuratibu utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Mtaa
• Kushauri Kamati ya Mtaa kuhusu Mipango ya Maendeleo katika Mtaa
• Kusimamia Utekelezaji wa Sheria Ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika Mtaa
• Kushauri Kamati ya Mtaa kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama Kusimamia utekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na Umasikini katika Mtaa
• Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi wote


Job Skills: Not Specified


Sifa za Mwombaji
• Awe na Elimu ya kidato cha Nne IV au Sita VI aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani:-
• Utawala
• Sheria
• Ustawi wa Jamii
• Usimamizi wa Fedha
• Maendeleo ya Jamii au Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali


Mshahara Utakuwa katika ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS B


MASHARTI YA JUMLA
• Mwombaji awe raia wa Tanzania na mwenye umri kuanzia miaka 18 hadi 45.
• Mwombaji awe hajawahi kushitakiwa kwa kosa lolote la jinai.
• Waombaji waambatanishe nakala za vyeti vya taaluma (NTA level 5), nakala ya cheti cha
• Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa
• Waombaji wote waambatanishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed Curriculum Vitae) ikiwa na anuani, namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini "referees" watatu (3) na picha mbili "passport size" za hivi karibuni (ziandikwe jina kwa nyuma).
• Testimonials, Provisional Results, Statement of Results, Hati za matokeo za kidato channe na sita (Form IV and VI Results Slips) na Transcript ambayo haikuambatanishwa na cheti havitakubaliwa.
• Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vinahakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (NECTA au NACTE).
• Waombaji ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe nafasi hizi.
• Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma kwa sababu yoyote ile hawaruhusiwi kuomba nafasi hizi.
• Waombaji watakaowasilishaji vyeti, taarifa na sifa za kughushi watachukuliwa hatua za kisheria na mamlaka zinazohusika.
• Maombi yote yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili au Kingereza.
• Kwa Waombaji kazi wenye vyeti vya ngazi yaani NTA level 4, na level 6, maombi yao hayatafanyiwa kazi.
• Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni siku ya Jumanne, tarehe 15 Septemba, 2020, saa 09:30Alasiri.
• Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kupitia anuani ifuatayo;


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA,
S.L.P. 194,
MUSOMA
Limetolewa na:-
Fidelica G. Myovella
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA
MUSOMA


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 15 September 2020
Duty Station: Musoma
Posted: 01-09-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 01-09-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 01-09-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.