Muangalizi wa Ofisi Job at The Institute of Public Administration (IPA) - Career Opportunity in Tanzania
Website :
2016 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Muangalizi wa Ofisi

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

 

Jobs at:

The Institute of Public Administration (IPA)

Deadline of this Job:
12th July 2019  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Friday, July 05, 2019 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
CHUO CHA UTAWALA WA UMMA ZANZIBAR KINATANGAZA NAFASI ZA KAZI KAMA HIVI IFUATAVYO: - .

Sifa za Muombaji.
• Awe Mzanzibari.
• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Usimamizi wa Rasilimali Watu au Utawala wa Umma kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Job Responsibilities: Not Specified

Job Skills: Not Specified

Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

 

{module 312}

Job application procedure
  Jinsi ya kuomba:
• Barua za maombi ziandikwe kwa mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:
Mkurugenzi,
Chuo Cha Utawala Wa Umma,
S.L.P. 1179,
Tunguu,
Zanzibar.
• Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja katika Chuo cha Utawala wa Umma, Tunguu, Zanzibar wakati wa saa za kazi.
Barua za Maombi ziambatanishwe na mambo yafuatayo:
• Kivuli cha Cheti cha kumalizia masomo.
• Kivuli cha Cheti cha Mtihani wa Taifa (Eilimu ya Sekondari).
• KivuIi cha Cheti cha Kuzaliwa.
• Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari.
• Picha moja (1) ya Passport size iliyopigwa karibuni.
• N.B: Atakaewasilisha ‘Statement of Result’ au ‘Progressive Report’ maombi yake hayatazingatiwa.
• Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 12 Julai, 2019 wakati wa saa za kazi.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

 

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 12th July 2019
Duty Station: Dar es Salaam, Tanzania
Posted: 05-07-2019
No of Jobs: 1
Start Publishing: 05-07-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 06-07-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.