Personal Secretary Ill Job at Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam - Career Opportunity in Tanzania

Vacancy title:
Personal Secretary Ill

Jobs at:
Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam

Deadline of this Job:
10th December 2018

Duty Station:
Tanzania

Summary
Date Posted: 29th November 2018 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time

JOB DETAILS:
Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wananchi wote wenye sifa za kuajiriwa kuleta maombi yao ya kazi kwa nafasi zifuatazo:

Katibu Mahsusi Ill (Personal Secretary Ill)
NGAZIYA MSHAHARA TGS.B

SIFA ZA KUAJIRIWA:
Waombaji wawe na Elimu ya Kidato cha Nne/Sita waliohitimu mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu. Wawe wamefaulu somo la Hati Mkato ya Kiswahili na Kiingereza rnaneno(80) kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika Programu za Windows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher.

KAZI ZA KUFANYA:

  • Kuchapa barua na nyaraka za kawaida.
  • Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa.
  • Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo ofisini.
  • Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa maafisa walio katika sehemu alipo na kuyakusanya, kuyatunza na kurudisha sehemu zinazohusika.
  • Kusaidia kutunza taarifadkumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi nyingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anapofanyia kazi na kurnwarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.

MASHARTI YA JUMLA:

  • Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania wenye umri wa kuanzia miaka 18 usiozidi miaka
  • Waombaji wote waambatishe nakala ya Vyeti vya Taalurna, Vyeti vya Kidato cha Nne na Sita, Cheti cha Kuzaliwa, picha mbili (2) passport size ya hivi karibuni iandikwe majina ya mwombaji kwa nyuma.
  • Barua zote za maombi ziandikwe kwa mkono na mwombaji mwenye zikiambatishwa na maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed CV) na namba za simu za kuaminika.
  • Testimonials na Provisional Results’; Statement of Results, hati matokeo za kidato cha nne (Form IV or VI results slips HAVITAKUBAUWA,
  • Waombaji waliosoma Nje ya Nchi wahakikishe Vyeti wao virnehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (NECTA)
  • Maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza.
  • Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
  • Tangazo hili pia linapatikana kwenye Tovuti ya Jiji goiU
  • Mwisho \-va kupokea maombi ni tarehe 10 Desernba, 2018.
  • Aidha, uwasilishaji wa barua kwa mkono katika Ofisi za Jiji HAURUHUSIWI, MAOMBI YOTE YATUM WE K WA NJIA YA POSTA.

Job application procedure

MAOMBI YATUMWE KWA:
Mkurugenzi wa Jiji.
Halmashauri ya Jiji,
“Ukumbi wa Jiji"
S.L.P. 9084,
1 Barabara ya Morogoro.
11882 DAR ES SALAAM

Waombaji waliokidhi sifa wataarifiwa tarehe ya kufanya usaili kwa njia ya maandishi kupitia magazeti valiyotumika kutangaza nafasi hizi pamoja na simu za mikononi au Tovuti: www.dcc.go.tz 

Sipora J.Liana
MKURUGENZIWAJIJI,
HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM

Job Info
Job Category: Administrative jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 10th December 2018
Duty Station: Tanzania
Posted: 29-11-2018
No of Jobs: 1
Start Publishing: 29-11-2018
Stop Publishing (Put date of 2030): 29-11-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.